Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Monduli, Stephen Ulaya amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kupiga Kura kesho (Jumapili, Septemba 16,2018) ili kumchagua Mbunge wa Jimbo hilo.

Akizungumza na NEC TV wilayani Monduli leo Bw. Stephen Ulaya ameeleza kuwa maandalizi ya kufanikisha kufanyika kwa uchaguzi huo yamekamilika ikiwemo usambazaji wa vifaa vya uchaguzi na Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi .
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: