Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Stephen Kebwe Stephen akisoma hotuba wakati akifungua rasmi mashindano ya michezo ya Bandari yanayofanyikia uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Stephen Kebwe Stephen akisalimiana na Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Kiganja wakati akifungua rasmi mashindano ya michezo ya Bandari. 
 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Stephen Kebwe Stephen akipiga mpira kuashiria uzindua rasmi michezo ya Bandari. 
Katika picha ni matukio mbalimbali kuhusiana na uzinduzi rasmi wa michezo ya Bandari 2018 uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumatatu, Oktoba 15, 2018.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: