MKURUGENZI Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Laurean Bwanakunu (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kanda ya Afrika Mashariki, wa Taasisi Aga Khan, Sulaiman Shahabuddin wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya Kiutendaji jijini Dar es Salaam Desemba 20 2018. Wanaoshuhudia (kulia) ni Meneja Msaidizi wa Kisheria wa Hospitali ya Aga Khan, Kieran Kitojo na Mwanasheria Mkuu wa MSD, Christopher Kamugisha. (Imeandaliwa na Robert Okanda)


MKURUGENZI Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Laurean Bwanakunu akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa hafla ya utiliaji saini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji na Taasisi ya Taasisi Aga Khan. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Huduma za Hospital ya Aga Khan, Lucy Kwayu.MKURUGENZI Mkuu wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD), Laurean Bwanakunu (kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kanda ya Afrika Mashariki, wa Taasisi Aga Khan, Sulaiman Shahabuddin wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wandamizi wa Taasisi waliohudhuria hafla hiyo. 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: