Bwana harusi Isaya Yunge na Charlene Ruto wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa jijini Mwanza. Sherehe ya harusi hiyo inafanyika katika Hoteli ya Malaika.
Bwana Harusi Isaya Yunge akiingia ukumbini kwa ajili ya kufunga ndoa.
Rais wa Kenya, William Ruto, akiingia ukumbini akiwa ameambatana na mkewe na binti yao, Charlene, kwa ajili ya kushiriki hafla ya kufunga ndoa. Picha zote na Mc Suzuki








Toa Maoni Yako:
0 comments: