Rais wa Baraza la Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe, Ludovick Utoh, akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wahitimu wa waliosoma chuoni hapo. Picha zote Kajunason/MMG.
Spika wa Bunge mstaafu, Anne Makinda, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano uliowakutanisha wahitimu wa waliowahi kusoma Chuo Kikuu Mzumbe.
Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wanafunzi waliowahi kusoma na kuhitimu katika chuo hicho.
Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro, akizungumza katika mkutano huo.

Mmoja ya wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe 2013 akitoa ushuhuda wake jinsi chuo kilivyomjenga.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
Mwenyekiti wa Baraza Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga, akimkabidhi cheti cha shukrani Spika wa Bunge mstaafu, Anne Makinda, wakati wa mkutano uliowakutanisha wahitimu waliowahi kusoma chuoni hapo. Kulia ni Makamu Mkuu wa chuo hicho, Prof. Lughano Kusiluka.
Rais wa Baraza la Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe, Ludovick Utoh, akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza chuo hicho, Prof. Mathew Luhanga.
Wahitimu wa mwaka 2018 wakipokea vyeti vyao vya ubora kutoka Mwenyekiti wa Baraza Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga.
Mwenyekiti Baraza Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga, akimkabidhi cheti cha shukrani Meneja Mawasiliano Chuo Kikuu Mzumbe, Sylvia Lupembe, wakati wa kusanyiko la wahitimu waliohitimu chuoni hapo.
Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lghano Kusikula, akimpongeza Meneja Mawasiliano Chuo Kikuu Mzumbe, Sylvia Lupembe, wakati wa mkutano uliowakutanisha wanafunzi waliohitimu miaka ya nyuma chuoni hapo pamoja na wahitimu wa mwaka 2018.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: