Mkali wa Bongo Fleva Ali Kiba aka King Kiba, akiwa stejini pamoja na madensa wake wakati wa Tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Bongo Flava Vanessa Mdee (katikati) akitoa burudani ya kufunga mwaka pamoja na madensa wake katika hitimisho la tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya mashabiki wa muziki wa kizazi kipya wakishangilia kundi la Weusi( hawapo pichani) wakati walipopanda jukwaani kutumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Kundi la muziki wa kufoka foka (Hip Hop) la Weusi likitoa burudani ya kufunga mwaka katika hitimisho la tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Kundi la muziki wa kufoka foka (Hip Hop) la Weusi likitoa burudani ya kufunga mwaka katika hitimisho la tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: