Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli na MAkamu Mwenykiti wa CCM (Visiwani) na Rais wa Zanzibar na Baraa la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein wakitoka kwenye kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC) kilichofanyika 
Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Aprili 15, 2019.
Wajumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) wakitoka kwenye kikao chao kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Aprili 15, 2019
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally akizungumza na Wajumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama hicho (NEC) kabla ya kuanza kwa kikao chao kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt. John Pombe 
Magufuli Jumatatu Aprili 15, 2019
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: