Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akifunua kitambaa na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu
Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi wengine
kuashiria Ufunguzi rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini
Dodoma.Aprili 13,2019. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akipongezana na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan mara
baada ya kufungua rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini
Dodoma. Aprili 13,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akipongezana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya
kufungua rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Aprili
13,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akikata utepe na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa
Taifa Dkt.Modestus Kipilimba kuashiria Ufunguzi rasmi wa majengo mapya
ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akikagua majengo mapya ya Ikulu Chamwino akiwa ameambatana na
Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa,
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.Modestus Kipilimba
pamoja na Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kufungua
majengo hayo .Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimsikiliza Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka akielezea
kuhusu mradi wa ujenzi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino huku akiwa
ameambatana na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi John Kijazi na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa
Dkt.Modestus Kipilimba, mara baada ya kufungua majengo hayo .Ikulu
Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.
Sehemu ya majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Ambayo yamefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Aprili 13,2019. PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments: