Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki akishiriki Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakiwa katika Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu kanisani hapo jijini Dar es Salaam.
Waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakiwa katika Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu kanisani hapo jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: