Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani ambaye pia anawakilisha nchi Ucheki Dkt. Abdallah Possi akiwa tayari kuwaasilisha hati za utambulisho kwa Rais Miloš Zeman wa Jamhuri ya Ucheki (Czech Republic) katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Prague Jumatano Mei 8, 2019
Balozi Dkt. Abdallah Possi akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Miloš Zeman wa Jamhuri ya Ucheki (Czech Republic).
Balozi Dkt. Abdallah Possi akimtambulisha mkewe baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Miloš Zeman wa Jamhuri ya Ucheki (Czech Republic)
Balozi Dkt. Abdallah Possi katika picha ya kumbukumbu baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Miloš Zeman wa Jamhuri ya Ucheki (Czech Republic).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: