Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kulia) akimpokea Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Farmajo, wakati Rais huyo alipokua amewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa dharura akitoka nchini Afrika Kusini kuelekea nchini Somalia. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akizungumza na Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Farmajo, wakati Rais huyo alipokua amewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo kwa dharura akitokea nchini Afrika Kusini akielekea nchini Somalia.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wa pili kulia) akimuaga Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Farmajo, wakati Rais huyo alipokua amewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo kwa dharura akitokea nchini Afrika Kusini akielekea nchini Somalia. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto) akimpokea Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Farmajo, wakati Rais huyo alipokua amewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa dharura akitokea nchini Afrika Kusini akielekea nchini Somalia. Katikati ni Balozi wa Somalia nchini, Mohamed Hassan Abdi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: