RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar, kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini, kushoto akiwa na Mwakilishi wa UNICEF anayefanyika Kazi zake Zanzibar Bi. Maha Damaj.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Tanzania akiwa na Mwakilishi wa UNICEF Anayefanyika kazi zake Zanzibar B. Maha Damaj. (Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa picha na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani , yenye Ujumbe Unaoashiria Upendo kwa Watoto, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga leo.3-5-2019.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa nac mgeni wake Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini Tanzania.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo,3-5-2019.(Picha na Ikulu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: