Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Mwanza wakati akiwasili katika viwanja vya hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando kabla ya kuzindua maboresho ya huduma za hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando ikiwemo huduma ya Tiba za Saratani pamoja na Kiwanda Kidogo cha Oxygen huduma ambayo inapatikana pekee katika hospitali hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando Baba Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Renatus Nkwande pamoja na Mkurugenzi mkuu wa Hospitali hiyo Profesa Abel Makubi wakati akitoka kupata maelezo ya maboresho ya huduma za hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando ikiwemo huduma ya Tiba za Saratani pamoja na Kiwanda Kidogo cha Oxygen huduma ambayo inapatikana pekee katika hospitali hiyo.
Sehemu ya jengo linalotoa huduma ya Tiba za Saratani pamoja na Kiwanda Kidogo cha Oxygen huduma ambayo inapatikana pekee katika hospitali hiyo.
Sehemu ya Hospitali ya Rufaa ya Bugando. PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: