Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ,akizungumza wakati wa kufungua kikao kazi cha Wataalamu wa sekta ya Ardhi kilichofanyika kwenye Kituom cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma Julai 18, 2019.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angelina Mabula akizungumza kabla ya kaumkarisha waziri kufungua mkutano wa kikao kazi kwa wataalamu wa sekta ya ardhi pamoja na wadau mbalimbali wa ardhi
Katibu Mkuu wizara ya Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Dkt. Doothy Mwanyika akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha wataalamu wa sekta ya ardhi kilichofanyika Jijijini Dodoma leo ukumbi wa Dk Jakaya Kikwete
Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ,akizungumza wakati wa kufungua kikao kazi cha Wataalamu wa sekta ya Ardhi kilichofanyika kwenye Kituom cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma Julai 18, 2019.
Wataalamu wa Ardhi waliohudhuriam kikao hicho wakimsikiliza Mhe. Waziri.
Wataalamu wa Ardhi waliohudhuriam kikao hicho wakimsikiliza Mhe. Waziri.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: