Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki akiwa katika Kikao na Wajumbe Kujadili Maendeleo ya Kazi ya Usafishaji wa Bwawa la Kuzalisha Umeme Kwenye Mradi Nyerere (JNHPP) mapema leo Mtumba Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki (Kushoto) akishauriana jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Allan Kijazi (kulia) kwenye Kikao cha Kujadili Maendeleo ya Kazi ya Usafishaji wa Bwawa la Kuzalisha Umeme Kwenye Mradi Nyerere (JNHPP) kilichofanyika Mtumba Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki akiongoza Kikao cha Kujadili Maendeleo ya Kazi ya Usafishaji wa Bwawa la Kuzalisha Umeme Nyerere (JNHPP) kilichofanyika kwenye ukumbi wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mtumba Jijini Dodoma,
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: