Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar marehemu Mzee Abeid Amani karume, akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Amaan mjini Unguja leo Jumanne Machi 23, 2021
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: