Mamlaka ya Maji Safi na MajiTaka leo Februari 28, 2019 inaendelea na zoezi la kuziba mabomba yalitopasuka/kutoboka katika wilaya ya Temeke ikiwemo mtaa wa Sandali na Mikoroshini. Zoezi hilo ambalo linaendelea ni endelevu na litakuwa likifanyika mara kwa mara ili kuweza kuokoa rasilimali ya maji. Wananchi wote popote pale Dar es Salaam na Pwani kama umeona maji yanamwagika toa taarifa ili kusaidia kuokoa rasilimali maji kuharibika ovyo. Picha na Mpiga Picha wetu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: