RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili katika viwanja vya Skuli ya Mchanga Mdogo akiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma kushoto, wakielekea katika jengo ljipya la Madarasa ya Skuli ya Sekondari ya Mchanga Mdogo kwa ajili ya uwekaji jiwe la msingi, akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kufungua jengo jipya la Skuli ya Sekondari ya Mchanga Mdogo Wilaya ya Wete Pemba leo.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia moja ya meza mpya zilizoagiziwa kwa ajili ya matumizi ya Skuli za Sekondari na Msingi Zanzibar, baada ya kufungua madarasa manne ya Skuli ya Sekondari ya Mchanga Mdogo Wilaya ya Wete Pemba akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo.(Picha na Ikulu)
 WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Mchanga Mdogo Wilaya ya Wete Pemba wakiimba Wimbo wa Sisi Sote Tumengomboka wakati wa hafla ya ufunguzi wa majengo ya Skuli ya Sekondari Mchanga Mdogo Kisiwani Pemba leo.(Picha na Ikulu)
 WANAFUNZI wa Skuli ya Sekondari na Msingi ya Mchanga Mdogo Wilaya ya Wete Pemba, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Madarasa ya Skuli ya Sekondari Mchanga Mdogo Pemba.(Picha na Ikulu)
 WANANCHI wa Kijiji cha Mchanga Mdogo Wilaya ya Wete Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia baada ya hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Skuli ya Sekondari ya Mchanga Mdogo Pemba.(Picha na Ikulu)
 WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma akihutubia kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin kuwahutubia Wananchi wa Kijiji cha Mchanga Mdogo Wilaya ya Wete Pemba, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Skuli ya Sekondari Mchanga Mdogo (Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Madarasa Mapya ya Skuli ya Sekondari Mchanga Mdogo Wilaya ya Wete Pemba, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: