Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Mb) pamoja na Mhe. Netumbo Nandi – Ndaitwah Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano (Mb) wakionesha kwa waandishi wa habari nyaraka za tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya Tanzania na Namibia walizotia saini Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019.
Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Mhe. Netumbo Nandi – Ndaitwah Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wakitia saini tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya Tanzania na Namibia Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019.
Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Mhe. Netumbo Nandi – Ndaitwah Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wakibadilishana nyaraka baada ya kutia saini tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya Tanzania na Namibia Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019. 
Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Mhe. Netumbo Nandi – Ndaitwah Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutia saini na kubadilishana nyaraka za tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya Tanzania na Namibia walizotia saini Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019. Kushoto ni kaimu balozi wa Tanzania Nchini Afrika ya Kusini anayesimamia pia Namibia Bw. Richard Lupembe na kulia ni Balozi wa Namibia nchini Tanzania Theresia Samaria.(PICHA NA IKULU).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: