Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili Mkoani Mwanza leo Julai 31,2019 kwa ajili ya kuhudhuria kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Inayotarajiwa kufanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na mkuu wa mkoa wa mwanza Mongela mara baada ya kuwasili Mkoani Mwanza leo Julai 31,2019 kwa ajili ya kuhudhuria kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Inayotarajiwa kufanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia urudani ya ngoma mara baada ya kuwasili Mkoani Mwanza leo Julai 31, 2019 kwa ajili ya kuhudhuria kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Inayotarajiwa kufanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu kesho Agosti 1, 2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa aneongozana na Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mongela mara baada ya kuwasili Mkoani Mwanza leo Julai 31,2019 kwa ajili ya kuhudhuria kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Inayotarajiwa kufanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu kesho.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: