Mapema leo mwenyekiti wa UZALENDO KWANZA Steve Mengele almaarufu Steve Nyerere (kushoto) amemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Diwani Athumani na kubadilisha mawazo ikiwa ni katika kuhakikisha wasanii wanakuwa mstari wa mbele katika kukemea na kupamba na vitendo vya rushwa.
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Diwani Athumani (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa UZALENDO KWANZA Steve Mengele almaarufu Steve Nyerere (kushoto) kitabu chenye kanuni na miongozo katika kupambana na rushwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: