Ndege Tropical yenye namba 5H-NOW iliyokuwa ikitokea Mafia kuelekea jijini Dar es Salaam imepata ajali na muda huu majira ya saa 5 asubuhi Agosti 6, 2019 na kuungua. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali wamesema kuwa ajali hiyo imesababishwa baada ya rubani kugonga fensi ya ukuta. Majeruhi 9 wamekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu. Habari kamili zitawafikia punde.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: