RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar, katika mkutano wa Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019,uliofanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 22-8-2019.kulia kwa Rais Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe.Khamis Juma Mwalim.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Wizara yake kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hayupo pichani na kushoto Mshauri wa Rais Pemba Mhe. Dk. Maua Abeid Daftari(Picha na Ikulu)
WATENDAJI wa Wizara ya Sheria na Katiba Zanzibar , wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 22-8-2019.(Picha na Ikulu)
KATIBU Mkuu Wizara ya Sheria na Katiba Zanzibar Ndg. Goerg Joseph Kazi , akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Wizara yake kwa mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019, kulia Naibu Mwanasheria Mkuu Zanzibar Mhe. Mzee Ali Haji, wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Watendaji wa Wizara ya Sheria na Katiba Zanzibar wakifuatilia Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Wizara kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, wakati ikiwasilishwa katika mkutano huo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg Goerg Joseph Kazi katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
KATIBU wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar , ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar Jaji Mshibe Ali Bakari, akichangia wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa Wizara ya Sheria na Katiba Zanzibar . kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019 kulia Mshauri wa Rais Pemba Mhe. Dk. Maua Abeid Daftari na Waziri wa Wizara ya Sheria Katiba Zanzibar Mhe Khamis Juma Mwalim.(Picha na Ikulu),
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: