Rais wa Ugandam Yoweri Museveni leo amepokea ndege mbili za kwanza wakati nchi hiyo inapofufua Shirika lake la ndege la Uganda Airlines.


Kiongozi huyo alikuwa kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe kupokea ndege hizo aina ya Bombardier CRJ900. Museveni alisema kamwe hatoruhusu shirika hilo linaloirejeshea nchini yake hadhi yake liangamie tena.
Rais wa Ugandam Yoweri Museveni leo na Mama Janeth Museveni wakipungia wakati wakiingia kuikagua moja ya ndege hizo
Rais wa Ugandam Yoweri Museveni leo na Mama Janeth Museveni wakiwa ndani ya moja ya ndege hizo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: