Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CF) Billy Mwakatage, akizungumza na Waandishi wa habari wakati wa kupokea msaada wa boti ya maokozi uliotolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia Mjini wa Hamburg. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Kiongozi wa Kikosi cha Wazamiaji majini wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Stesheni Sajini Saidi Sekibojo, akitoa maelezo jinsi vifaa mbalimbali vinavyotumiwa na wazamiaji wanapotekeleza majukumu yao katika uokoaji majini, wakati wa kupokea msaada wa boti ya maokozi uliotolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia Mjini wa Hamburg. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CF) Billy Mwakatage, akiwa kwenye picha ya pamoja na askari wa kikosi cha uzamiaji majini cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kinachoongozwa na Stesheni Sajini Saidi Sekibojo, wakati wa kupokea msaada wa boti ya maokozi uliotolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia Mjini wa Hamburg. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Boti ya maokozi iliyotolewa msaada na Nchi ya Ujerumani kupitia Mji wa Hamberg kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji itakayo saidia katika shughuli ya uokoaji majini. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO - JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MAKAO MAKUU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: