Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Deusdedit Mwita Wambura, Baba mzazi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24 Oktoba, 2026 Jijini Dar es Salaam.








Toa Maoni Yako:
0 comments: